Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 35:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Baada ya hayo yote Yosia alipokuwa ameitayarisha nyumba, Neko+ mfalme wa Misri+ akapanda kuja kupigana kule Karkemishi+ kando ya Efrati. Ndipo Yosia+ akatoka kwenda kupambana naye.+

  • Methali 26:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Mpita-njia yeyote anayekasirishwa na ugomvi usio wake ni kama mtu anayemshika mbwa masikio.+

  • Luka 14:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Au ni mfalme gani, anayeenda kukutana na mfalme mwingine vitani, asiyeketi kwanza na kufanya shauri kama anaweza akiwa na askari 10,000 kukabiliana na yule mtu anayekuja juu yake pamoja na 20,000?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki