-
2 Wafalme 8:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Na ikawa kwamba alipokuwa akimsimulia mfalme jinsi alivyokuwa amemfufua mtu aliyekufa,+ tazama, yule mwanamke aliyekuwa amemfufulia mwana wake alikuwa akimlilia mfalme kwa ajili ya nyumba yake na kwa ajili ya shamba+ lake. Mara moja Gehazi akasema: “Bwana+ wangu mfalme, huyu ndiye yule mwanamke, na huyu ndiye mwana wake ambaye Elisha alimfufua.”
-