22 Kisha wakaaji wa Yerusalemu wakamfanya Ahazia+ mwana wake mdogo zaidi kuwa mfalme mahali pake, (kwa kuwa kikundi cha waporaji kilichokuja na Waarabu+ kambini kilikuwa kimewaua wale wakubwa wote,)+ na Ahazia mwana wa Yehoramu akaanza kutawala akiwa mfalme wa Yuda.