Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 11:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na wale wakuu wa mamia+ wakafanya kulingana na yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa ameamuru. Basi kila mmoja wao akachukua watu wake waliokuwa wakiingia wakati wa sabato,+ pamoja na wale waliokuwa wakitoka nje wakati wa sabato, kisha wakamjia Yehoyada kuhani.

  • 2 Mambo ya Nyakati 23:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Na katika mwaka wa saba Yehoyada+ akajionyesha kuwa hodari, akawachukua wakuu wa mamia,+ yaani, Azaria mwana wa Yerohamu, na Ishmaeli mwana wa Yehohanani na Azaria mwana wa Obedi na Maaseya mwana wa Adaya na Elishafati mwana wa Zikri, pamoja naye katika agano.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki