Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 6:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Na hawa ndio ambao Daudi+ aliwapa vyeo kwa ajili ya kuongoza uimbaji katika nyumba ya Yehova baada ya Sanduku kupata mahali pa kupumzika.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 15:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Naye Daudi alikuwa amevaa koti lisilo na mikono la kitambaa laini, na pia Walawi wote waliochukua Sanduku na waimbaji na Kenania+ mkuu wa uchukuzi wa waimbaji;+ lakini Daudi alikuwa amevaa efodi+ ya kitani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki