Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na hakika mimi nitauweka uso wangu juu yenu, nanyi hakika mtashindwa mbele ya adui zenu;+ nao wale wanaowachukia ninyi watawakanyagia chini,+ nanyi kwa kweli mtakimbia wakati ambapo hakuna mtu yeyote anayewafuatilia.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Yehova atakufanya ushindwe mbele ya adui zako.+ Utatoka nje kwa njia moja kwenda juu yao, lakini kwa njia saba utakimbia kutoka mbele yao; nawe utakuwa kitu chenye kuogopesha kwa falme zote za dunia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki