1 Wafalme 10:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi. 1 Wafalme 22:48 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 48 Naye Yehoshafati akajenga meli za Tarshishi+ ziende Ofiri kuchukua dhahabu; lakini hazikuenda, kwa sababu meli hizo zilivunjika huko Esion-geberi.+
22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi.
48 Naye Yehoshafati akajenga meli za Tarshishi+ ziende Ofiri kuchukua dhahabu; lakini hazikuenda, kwa sababu meli hizo zilivunjika huko Esion-geberi.+