26 Na palikuwa na kundi la meli ambazo Mfalme Sulemani aliunda katika Esion-geberi,+ lililoko kando ya Elothi,+ kando ya Bahari Nyekundu katika nchi ya Edomu.+
6 Ndipo Resini mfalme wa Siria akarudisha Elathi+ kwa Edomu, kisha akawaondoa Wayahudi kutoka Elathi; nao Waedomu wakaingia katika Elathi, wakaendelea kukaa humo mpaka leo hii.