Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 20:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kati ya watu hao wote kulikuwa na watu 700 waliochaguliwa, wenye kutumia mkono wa kushoto.+ Kila mmoja wa hao alikuwa mtupa-mawe+ kwa kombeo na angeweza kupiga shabaha unywele, bila kukosea.

  • 1 Samweli 17:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Ndipo Daudi akatia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, akalitupa kwa kombeo, hivi kwamba akampiga+ yule Mfilisti katika paji la uso wake, na lile jiwe likapenya ndani ya paji la uso wake, naye akaanguka kifudifudi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki