Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo Resini mfalme wa Siria akarudisha Elathi+ kwa Edomu, kisha akawaondoa Wayahudi kutoka Elathi; nao Waedomu wakaingia katika Elathi, wakaendelea kukaa humo mpaka leo hii.

  • 2 Mambo ya Nyakati 24:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kwa maana jeshi la Wasiria lilivamia kwa hesabu ndogo ya watu,+ na Yehova mwenyewe akatia mkononi mwao jeshi lililo na hesabu kubwa sana,+ kwa sababu walikuwa wamemwacha Yehova Mungu wa mababu zao; nao wakafanya hukumu juu ya Yehoashi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki