27“Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.
48 Na Sulemani mwishowe akavitengeneza vyombo vyote vya nyumba ya Yehova, madhabahu+ ya dhahabu na meza+ ambayo mkate wa wonyesho ulikuwa juu yake, ya dhahabu,