Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 18:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kwa hiyo Hezekia mfalme wa Yuda akatuma ujumbe kwa mfalme wa Ashuru kule Lakishi, na kusema: “Nimetenda dhambi. Rudi nyuma, utoke juu yangu. Lolote utakalonitwika, nitalichukua.”+ Basi mfalme wa Ashuru akaweka juu ya Hezekia mfalme wa Yuda talanta+ 300 za fedha na talanta 30 za dhahabu.

  • 2 Mambo ya Nyakati 27:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Naye akapigana vita na mfalme wa wana wa Amoni,+ na mwishowe akawa na nguvu kuliko wao, hivi kwamba wana wa Amoni wakampa mwaka huo talanta mia moja za fedha na vipimo+ elfu kumi vya ngano+ na elfu kumi vya shayiri.+ Wana wa Amoni walimlipa vitu hivyo, pia katika mwaka wa pili na wa tatu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki