Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 “Nao wana wa Haruni utawafanyia kanzu,+ nawe utawafanyia ukumbuu kila mmoja wao, nawe utawafanyia mavalio ya kichwani+ kwa utukufu na uzuri.+

  • 1 Samweli 22:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Mwishowe mfalme akamwambia Doegi:+ “Wewe geuka, uwashambulie makuhani!” Mara moja Doegi Mwedomu+ akageuka yeye mwenyewe na kuwashambulia hao makuhani, na siku hiyo akawaua+ watu 85 wenye kuvaa efodi+ ya kitani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki