-
2 Wafalme 8:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Basi Yehoramu akavuka mpaka Sairi, pia magari yote pamoja naye. Na ikawa kwamba yeye akaondoka wakati wa usiku, akawapiga na kuwaua Waedomu waliokuwa wamemzunguka na wale wakuu wa magari; na watu wakakimbia kwenda katika mahema yao.
-