Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 20:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Nanyi msitembee katika sheria za mataifa ambayo nitayafukuza kutoka mbele yenu,+ kwa sababu wamefanya mambo hayo yote nami nayachukia.+

  • Kumbukumbu la Torati 12:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Jiangalie usije ukanaswa na kuwafuata,+ baada ya wao kuangamizwa kutoka mbele yako, nawe usije ukauliza kuhusu miungu yao, na kusema, ‘Mataifa haya yalikuwa yakiitumikiaje miungu yao? Nami, naam, mimi nitafanya vivyo hivyo.’

  • Kumbukumbu la Torati 18:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Utakapokuwa umeingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, usijifunze kufanya kulingana na machukizo ya mataifa hayo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki