- 
	                        
            
            Yoshua 15:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        8 Na mpaka huo ukapanda hadi bonde la mwana wa Hinomu+ kwenye mteremko wa Myebusi+ upande wa kusini, yaani, Yerusalemu;+ na mpaka huo ukapanda hadi kwenye kilele cha mlima unaoelekeana na bonde la Hinomu upande wa magharibi, ambao uko mwisho wa nchi tambarare ya chini ya Refaimu+ upande wa kaskazini. 
 
-