Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 21:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na ikawa kwamba mara tu Ahabu alipoyasikia maneno hayo, akayararua mavazi yake, akavaa nguo za magunia+ mwilini mwake; naye akaanza kufunga, akaendelea kulala katika nguo za magunia, akatembea kwa huzuni.+

  • Zaburi 69:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Nilipofanya magunia kuwa mavazi yangu,

      Ndipo nikawa neno la kimethali kwao.+

  • Ufunuo 6:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Nami nikaona alipofungua muhuri wa sita, na tetemeko kubwa la nchi likatokea; na jua likawa jeusi kama gunia+ la manyoya, na mwezi mzima ukawa kama damu,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki