Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 2:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Naye akajichukulia kigae cha udongo cha kujikunia; naye akawa akiketi katikati ya majivu.+

  • Ayubu 2:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nao wakaendelea kuketi+ chini pamoja naye siku saba, mchana na usiku, wala hakuna yeyote aliyemwambia neno lolote, kwa maana waliona kwamba yale maumivu+ ni makali sana.

  • Ayubu 7:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Wakati ninapolala chini nimesema, ‘Nitaamka wakati gani?’+

      Na jioni inapoisha, pia nimejawa na ukosefu wa utulivu mpaka mapambazuko ya asubuhi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki