Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 2:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Nimewaapisha ninyi,+ enyi binti za Yerusalemu, kwa swala-jike+ au kwa paa+ wa porini, kwamba msijaribu kuamsha au kuwasha upendo ndani yangu mpaka wenyewe utake.+

  • Wimbo wa Sulemani 5:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Jinsi gani mpenzi wako ni bora kuliko mpenzi mwingine yeyote,+ ewe uliye mrembo zaidi kati ya wanawake?+ Jinsi gani mpenzi wako ni bora kuliko mpenzi mwingine yeyote, hata ukatuapisha kwa kiapo cha namna hii?”+

  • Wimbo wa Sulemani 6:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Mpenzi wako amekwenda wapi, ewe mwanamke mrembo zaidi kati ya wanawake?+ Mpenzi wako amegeukia upande gani, ili tumtafute pamoja nawe?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki