Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 20:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Ataruka mbali kama ndoto, nao hawatampata;

      Naye atafukuziwa mbali kama maono ya usiku.+

  • Zaburi 90:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Umewafagilia mbali;+ wanakuwa usingizi tu;+

      Asubuhi, wao ni kama majani mabichi ambayo hubadilika.+

  • Isaya 29:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ndiyo, itakuwa tu kama wakati mtu aliye na njaa anapoota ndoto, na, tazama, anakula, naye huamka kumbe nafsi yake ni tupu;+ na kama tu wakati mtu aliye na kiu anapoota ndoto, na, tazama, anakunywa, naye huamka, na, tazama, amechoka nayo nafsi yake imekauka; hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa ule umati wa mataifa yote yanayopiga vita juu ya Mlima Sayuni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki