12 Hii ndiyo sheria ya Nyumba hiyo. Juu ya mlima eneo lake lote kuzunguka pande zote ni kitu kitakatifu zaidi.+ Tazama! Hii ndiyo sheria ya Nyumba hiyo.
15 Sasa wakafika Yerusalemu. Huko akaingia katika hekalu akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, naye akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa;+