-
Luka 15:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 “Aliporudiwa na fahamu zake, akasema, ‘Ni watu wangapi aliowakodi baba yangu ambao wana mkate kwa wingi, na huku mimi ninaangamia hapa kwa njaa kali!
-