Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 38:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Naye akasema: “Ni rehani gani nitakayokupa?” akasema: “Pete yako ya muhuri+ na kamba yako na fimbo yako iliyo mkononi mwako.” Basi akampa vitu hivyo, akalala naye, naye akapata mimba.

  • Methali 2:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 ili huo ukukomboe kutoka kwa mwanamke, naam, kutoka kwa mwanamke mgeni+ ambaye amefanya maneno yake kuwa laini,+

  • Methali 5:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kwa maana midomo ya mwanamke mgeni hudondoka-dondoka kama sega la asali,+ nalo kaakaa lake ni laini kuliko mafuta.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki