Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 2:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Macho yako na yawe katika shamba watakalovuna, nawe uende nao. Je, sikuwaamuru vijana wasikuguse?+ Unapokuwa na kiu, uende kwenye vyombo, ukanywe waliyoyateka+ hao vijana.”

  • 2 Samweli 23:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Baada ya muda Daudi akaonyesha tamaa yake na kusema: “Laiti ningekunywa maji kutoka katika tangi la Bethlehemu lililoko langoni!”+

  • Mathayo 10:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Na yeyote yule anayempa mmoja wa wadogo hawa kikombe tu cha maji baridi ya kunywa kwa sababu ni mwanafunzi, kwa kweli ninawaambia ninyi, huyo hatapoteza thawabu yake kamwe.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki