Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 38:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi akayavua mavazi ya ujane wake, akavaa shali na kujifunika uso, naye akaketi chini kwenye mwingilio wa Enaimu, jiji lililo katika barabara inayokwenda Timna. Kwa maana aliona ya kwamba Shela alikuwa ameshakuwa mtu mzima na bado hakuwa amekabidhiwa kwake awe mke wake.+

  • Yeremia 4:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Sasa kwa kuwa umeporwa, utafanya nini, kwa sababu ulikuwa ukivaa nguo nyekundu, kwa sababu ulikuwa ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu, kwa sababu ulikuwa ukipanua macho yako kwa kujipaka wanja?+ Ulikuwa ukijirembesha kwa ubatili tu.+ Wale wanaokutamani wamekukataa; wanaendelea kuitafuta nafsi yako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki