Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 48:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Wamoabu wamekuwa wakistarehe tangu ujana wao,+ nao wanaendelea bila usumbufu juu ya machicha+ yao. Nao hawajamiminwa kutoka chombo kimoja ndani ya chombo kingine, nao hawajaenda uhamishoni. Ndiyo sababu ladha yao imesimama tuli ndani yao, na harufu yao haijabadilika.

  • Ufunuo 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 “ ‘Kwa hiyo kumbuka umeanguka kutoka wapi, nawe utubu+ na kufanya yale matendo ya mwanzoni. Usipofanya hivyo, mimi ninakuja kwako,+ nami nitakiondoa kinara chako cha taa+ kutoka mahali pake, usipotubu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki