Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 18:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Naye Musa akachagua wanaume wenye uwezo kutoka Israeli lote na kuwapa vyeo vya kuwa vichwa juu ya watu,+ kuwa wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa 50 na wakuu wa makumi.

  • 1 Samweli 22:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake waliokuwa wamemzunguka: “Tafadhali, sikilizeni, enyi Wabenyamini. Je, mwana wa Yese+ atawapa ninyi nyote mashamba na mizabibu?+ Je, atawaweka nyote kuwa wakuu wa maelfu+ na wakuu wa mamia?

  • Danieli 3:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Naye Mfalme Nebukadneza akatuma watu wawakusanye maliwali, manaibu wa maliwali+ na magavana, washauri, waweka-hazina, waamuzi, mahakimu watekeleza-sheria+ na wasimamizi wote wa wilaya za utawala waje kwenye mzinduo+ wa sanamu ambayo Mfalme Nebukadneza alikuwa ameisimamisha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki