-
Ayubu 33:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Ikiwa kuna mjumbe kwa ajili yake,
Msemaji, mmoja kati ya elfu,
Ili kumwambia mwanadamu unyoofu wake,
-
2 Petro 2:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 kwa maana mtu huyo mwadilifu kwa yale ambayo aliona na kusikia alipokuwa akikaa katikati yao siku baada ya siku alikuwa akiitesa nafsi yake yenye uadilifu kwa sababu ya vitendo vyao vya kuasi sheria—
-
-
-