Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Nao kwa kweli watakuzingira ndani ya malango yako yote mpaka kuta zako ndefu na zenye ngome ambazo unazitumaini zitakapoanguka katika nchi yako yote, naam, hakika watakuzingira ndani ya malango yako katika nchi yako yote, ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe.+

  • Isaya 51:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Nami nitakitia mkononi mwa wale wanaokuudhi,+ ambao wameiambia nafsi yako, ‘Inama chini ili tuvuke,’ hivi kwamba ulikuwa ukiufanya mgongo wako kama dunia, na kama barabara kwa ajili ya wale wanaovuka.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki