Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 10:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kwa maana Mordekai Myahudi alikuwa wa pili+ kwa Mfalme Ahasuero naye alikuwa mkuu kati ya Wayahudi na alikubaliwa na wengi wa ndugu zake, akifanya kazi kwa ajili ya mema ya watu wake na kusema amani+ kwa uzao wao wote.

  • Danieli 5:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvika Danieli mavazi ya zambarau, pamoja na mkufu wa dhahabu shingoni mwake; nao wakatangaza kumhusu yeye kwamba atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.+

  • Danieli 6:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Basi ikawa kwamba Danieli huyo akajipatia sifa+ juu ya wale maofisa wakuu na maliwali, kwa maana roho isiyo ya kawaida ilikuwa ndani yake;+ naye mfalme alikuwa anakusudia kumwinua juu ya ufalme wote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki