Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”’+

  • Yeremia 27:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Nawe uzipeleke kwa mfalme wa Edomu+ na kwa mfalme wa Moabu+ na kwa mfalme wa wana wa Amoni+ na kwa mfalme wa Tiro+ na kwa mfalme wa Sidoni+ kwa mkono wa wajumbe wanaokuja Yerusalemu kwa Sedekia mfalme wa Yuda.

  • Yeremia 27:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na sasa mimi mwenyewe nimezitia nchi hizi zote mkononi mwa Nebukadneza mfalme wa Babiloni,+ mtumishi wangu;+ na nimempa hata wanyama wa mwituni ili wamtumikie.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki