-
Kumbukumbu la Torati 28:61Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
61 Tena, ugonjwa wowote na pigo lolote ambalo halijaandikwa katika kitabu cha sheria hii, Yehova ataleta hayo juu yako mpaka uwe umeangamizwa.
-