Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo wakamkamata mfalme+ na kumleta kwa mfalme wa Babiloni kule Ribla,+ ili watangaze uamuzi wa hukumu juu yake.

  • Yeremia 32:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 na Sedekia mwenyewe, mfalme wa Yuda, hataponyoka kutoka mkononi mwa Wakaldayo, kwa maana bila shaka atatiwa mkononi mwa mfalme wa Babiloni, na kinywa chake kitasema na kinywa cha yule, na macho yake yatayaona macho ya yule”’;+

  • Ezekieli 12:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nami nitautandaza wavu wangu juu yake, naye atakamatwa katika wavu wangu wa kuwindia;+ nami nitampeleka Babiloni, mpaka nchi ya Wakaldayo,+ lakini hataiona; naye atakufa huko.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki