Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 18:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Jinsi inavyofanya nchi ya Misri ambamo mlikaa, msifanye;+ na jinsi inavyofanya nchi ya Kanaani, ambamo nitawaleta, msifanye;+ na katika sheria zao msitembee.

  • Mambo ya Walawi 20:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Nanyi msitembee katika sheria za mataifa ambayo nitayafukuza kutoka mbele yenu,+ kwa sababu wamefanya mambo hayo yote nami nayachukia.+

  • Kumbukumbu la Torati 12:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Jiangalie usije ukanaswa na kuwafuata,+ baada ya wao kuangamizwa kutoka mbele yako, nawe usije ukauliza kuhusu miungu yao, na kusema, ‘Mataifa haya yalikuwa yakiitumikiaje miungu yao? Nami, naam, mimi nitafanya vivyo hivyo.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki