Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 5:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na itakuwa kwamba mtasema, ‘Kwa sababu gani Yehova Mungu wetu ametutendea mambo haya yote?’+ Nawe utawaambia, ‘Kama mlivyoniacha mimi, kwenda kumtumikia mungu wa kigeni katika nchi yenu, ndivyo mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’”+

  • Yeremia 16:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Na itakuwa kwamba, utakapowaambia watu hawa maneno haya yote na kwa kweli wao wakuambie, ‘Kwa sababu gani Yehova amesema juu yetu msiba huu wote ulio mkubwa, nasi tuna kosa gani na dhambi gani ambayo tumemtendea Yehova Mungu wetu?’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki