Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 29:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 naam, mataifa yote yatalazimika kusema, ‘Kwa nini Yehova aliitendea hivi nchi hii?+ Joto la hasira hii kuu ni la nini?’

  • Yeremia 5:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na itakuwa kwamba mtasema, ‘Kwa sababu gani Yehova Mungu wetu ametutendea mambo haya yote?’+ Nawe utawaambia, ‘Kama mlivyoniacha mimi, kwenda kumtumikia mungu wa kigeni katika nchi yenu, ndivyo mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’”+

  • Yeremia 13:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na utakaposema moyoni mwako,+ ‘Kwa nini mambo haya yamenipata?’+ kwa sababu ya wingi wa makosa yako marinda yako yameondolewa yasiwe kifuniko;+ visigino vyako vimetendewa kijeuri.

  • Yeremia 22:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na kwa kweli mataifa mengi watapita kando ya jiji hili na kila mmoja atamwambia mwenzake: “Kwa nini Yehova alilitendea hivi jiji hili kuu?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki