Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 79:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Wamemwaga damu yao kama maji

      Kuzunguka Yerusalemu pande zote, wala hakuna mtu wa kuzika.+

  • Yeremia 7:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Na maiti za watu hawa zitakuwa chakula cha viumbe vinavyoruka vya mbinguni na cha wanyama wa dunia, pasipo mtu yeyote wa kuwatetemesha.+

  • Yeremia 36:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Kwa hiyo Yehova amesema hivi juu ya Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ‘Hatakuwa na mtu yeyote anayeketi juu ya kiti cha ufalme cha Daudi,+ na maiti yake itakuwa kitu kilichotupwa nje+ kwenye joto wakati wa mchana na kwenye baridi kali wakati wa usiku.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki