Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Ndipo akaondoa hapo hazina zote za nyumba ya Yehova na hazina za nyumba ya mfalme,+ akakata vipande-vipande vyombo vyote vya dhahabu+ ambavyo Sulemani mfalme wa Israeli alikuwa ametengeneza katika hekalu la Yehova, kama Yehova alivyokuwa amesema.

  • Yeremia 15:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mali yako na hazina zako nitazitoa ziporwe,+ si kwa sababu zimelipiwa bei yake, bali kwa sababu ya dhambi zako zote, katika maeneo yako yote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki