Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 4:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Sasa kwa kuwa umeporwa, utafanya nini, kwa sababu ulikuwa ukivaa nguo nyekundu, kwa sababu ulikuwa ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu, kwa sababu ulikuwa ukipanua macho yako kwa kujipaka wanja?+ Ulikuwa ukijirembesha kwa ubatili tu.+ Wale wanaokutamani wamekukataa; wanaendelea kuitafuta nafsi yako.+

  • Ezekieli 16:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 kwa hiyo, tazama, ninawakusanya pamoja wote wanaokupenda kwa tamaa ambao ulikuwa mwenye kupendeza kwao na wale wote uliowapenda pamoja na wale wote uliowachukia, nami nitawakusanya hao pamoja juu yako kutoka pande zote na kuwafunulia sehemu zako za siri, nao wataziona sehemu zako zote za siri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki