-
Ezekieli 24:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Nami nikasema na watu asubuhi, naye mke wangu mwishowe akafa jioni. Kwa hiyo nilifanya asubuhi vile ambavyo nilikuwa nimeamriwa.
-