Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 20:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nao wakaja, wakamzingira katika Abeli la Beth-maaka, wakatengeneza boma la kulizingira jiji hilo,+ kwa kuwa lilikuwa ndani ya boma. Na watu wote waliokuwa pamoja na Yoabu walikuwa wanauchimbua ukuta, ili kuubomoa.

  • Ezekieli 21:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Katika mkono wake wa kuume uaguzi ulikuwa kwa ajili ya Yerusalemu, ili kuweka mitambo ya kubomolea,+ kufungua kinywa cha mtu kwa ajili ya uchinjaji, kupaaza sauti ya king’ora,+ kuweka mitambo ya kubomolea juu ya malango, kujenga boma la kuzingira, kujenga ukuta wa kuzingira.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki