Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 6:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Ndipo watu wakapaaza sauti, walipopiga pembe.+ Kisha ikawa kwamba mara tu watu walipoisikia sauti ya pembe na watu wakapaaza kelele kubwa za vita, ndipo ukuta ukaanza kuanguka chini kabisa.+ Kisha watu wakapanda juu, wakaingia katika jiji, kila mmoja akasonga mbele moja kwa moja, na kuliteka jiji.

  • 1 Samweli 17:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Hivyo Daudi akaamka asubuhi na mapema, akawaacha kondoo mkononi mwa mtunzaji, akavichukua vitu vile, akaenda kama Yese alivyokuwa amemwamuru.+ Alipofika kwenye uwanja wa kambi,+ majeshi yalikuwa yakienda katika uwanja wa mapigano,+ nao wakapiga kelele za vita.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki