Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 14:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Wakati wanapofunga, mimi sisikilizi kilio chao cha kusihi;+ na wanapotoa toleo zima la kuteketezwa na toleo la nafaka, mimi siyafurahii;+ kwa maana nitawamaliza kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni.”+

  • Ezekieli 6:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Yule aliye mbali,+ kwa tauni atakufa; na yule aliye karibu, kwa upanga ataanguka; naye yule aliyebaki na ambaye amelindwa, kwa njaa atakufa, nami nitaitimiza ghadhabu yangu juu yao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki