Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na jeshi la Wakaldayo+ likamfuatilia mfalme, nao wakamfikia+ katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko;+ na jeshi lake lote likatawanyika kutoka upande wake.

  • Ezekieli 5:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “ ‘ “Kwa hiyo akina baba wenyewe watakula wana katikati yako,+ na wana wenyewe watakula baba zao, nami nitatenda ndani yako matendo ya hukumu na kutawanya mabaki yako yote kuelekea kila upepo.” ’+

  • Ezekieli 17:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nao wakimbizi wake wote katika vikosi vyake vyote, wataanguka kwa upanga, nao wanaobaki watatawanywa kotekote kuelekea kila upepo.+ Nanyi mtalazimika kujua kwamba mimi mwenyewe, Yehova, nimesema hilo.” ’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki