Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 15:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Ikiwa mmoja wa ndugu zako atakuwa maskini kati yako katika moja la majiji yako, katika nchi yako ambayo Yehova Mungu wako anakupa, usiufanye moyo wako kuwa mgumu wala kuufunga mkono wako kumwelekea ndugu yako aliye maskini.+

  • Ayubu 31:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na kula tonge langu peke yangu,

      Huku mvulana asiye na baba akiwa hali kutokana nalo+

  • Hosea 12:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Mfanya-biashara ana mizani ya udanganyifu mkononi mwake;+ amependa kupunja.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki