Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 23:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Zaidi ya hayo, Farao Neko akamfanya Eliakimu+ mwana wa Yosia kuwa mfalme mahali pa Yosia baba yake na kulibadili jina lake kuwa Yehoyakimu; naye akamchukua Yehoahazi na kumpeleka Misri, naye akafa huko mwishowe.+

  • 2 Wafalme 24:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mwishowe Yehoyakimu akalala pamoja na mababu zake,+ na Yehoyakini mwana wake akaanza kutawala mahali pake.

  • 2 Wafalme 25:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo wakamkamata mfalme+ na kumleta kwa mfalme wa Babiloni kule Ribla,+ ili watangaze uamuzi wa hukumu juu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki