Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 4:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Nao wanakufukuzia mbali kutoka kati ya wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni.+ Watakupa majani ule kama ng’ombe, na nyakati saba zitapita juu yako, mpaka ujue kwamba Aliye Juu Zaidi ni Mtawala katika ufalme wa wanadamu, na kwamba humpa yeyote yule amtakaye ufalme huo.’ ”+

  • Danieli 5:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Naye akafukuziwa mbali kutoka kati ya wanadamu, na moyo wake ukafanywa kama ule wa mnyama, naye akakaa pamoja na punda-mwitu.+ Wakawa wanampa majani ale kama ng’ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbingu,+ mpaka alipojua kwamba Mungu Aliye Juu Zaidi ni Mtawala katika ufalme wa wanadamu, na kwamba humweka juu yake yeyote yule anayemtaka.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki