Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 10:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Na itatukia kwamba Yehova atakapokomesha kazi yake yote katika Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, ndipo nitakapotoza hesabu kwa ajili ya matunda ya dharau la moyo wa mfalme wa Ashuru na kwa ajili ya kujihesabia makuu kwa majivuno ya macho yake.+

  • Nahumu 3:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo itakuwa kwamba kila mtu anayekuona atakukimbia+ naye atasema, ‘Ninawi ameporwa! Ni nani atakayemsikitikia?’ Nitakutafutia wapi wafariji?

  • Sefania 2:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Naye atanyoosha mkono wake kuelekea kaskazini, naye ataangamiza Ashuru.+ Naye atafanya Ninawi kuwa mahame yenye ukiwa,+ eneo lisilo na maji kama nyika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki