Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 5:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Lakini moyo wake ulipojivuna na roho yake ikawa ngumu, akatenda kwa kimbelembele,+ alishushwa kutoka katika kiti cha ufalme wake, akaondolewa heshima yake.+

  • Luka 18:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Ninawaambia ninyi, Mtu huyu alishuka kwenda nyumbani kwake akiwa amethibitishwa kuwa mwadilifu+ zaidi kuliko yule mwingine; kwa sababu kila mtu anayejiinua atafedheheshwa, bali yule anayejinyenyekeza atainuliwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki