Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 15:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa maana maskini hatakosa kamwe kuwako katika nchi.+ Ndiyo sababu ninakuamuru, na kusema, ‘Unapaswa kuufungua mkono wako kwa ukarimu kwa ndugu yako anayeteseka na aliye maskini katika nchi yako.’+

  • Marko 14:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa maana mna maskini+ pamoja nanyi sikuzote, na wakati wowote ule mnapotaka mnaweza kuwafanyia mema sikuzote, lakini mimi hamtakuwa pamoja nami sikuzote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki